Ilipopata ithibati ya kimataifa kama Mwajiri Bora wa Mwaka 2025 nchini kutoka kwa mamlaka ya rasilimali watu ya kimataifa, ...
Wakati miili ya marehemu waliofariki kwa ajali jana kwenye ziara ya chama cha Mapinduzi (CCM) mkoani Mbeya, majeruhi ...
Shahidi wa 11 katika kesi ya mauaji ya Josephine Mngara (30), aliyeuawa kwa kuteketezwa kwa moto, E7657 D/SGT Hassan ...
Adhabu hiyo haimhusu Slot pekee bali pia meneja msaidizi Sipke Hulshoff ambaye naye alishiriki tukio hilo la kumzonga na ...
Dar es Salaam. Baada ya kucheza mechi nane mfululizo za Ligi Kuu bila kupata ushindi, Fountain Gate leo Februari 26, 2025 ...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amewaagiza wakurugenzi na wakuu wa wilaya nchini, kuanzisha utaratibu ...
Wakati Sifael Shuma (92)aliyekuwa mmoja wa vijana wanne walioshiriki tukio la kuchanganya udongo, Aprili 26,1965,akizikwa ...
Baadhi ya wakazi wa mtaa wa Mahomanyika, Kata ya Nzuguni Jijini Dodoma wakiwa mbele ya ofisi ya CCM mkoa wa Dodoma kwa ajili ...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema dhamira ya Serikali ni kuunganisha Mkoa wa Tanga na shoroba kadhaa ili kufungua biashara, ...
Imeelezwa bidhaa hizo zinapaswa kuuziana kwa nchi wanachama kuliko kuagiza kutoka nje, hivyo teknolojia inapaswa kutumika ili ...
Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), imezindua mwendelezo wa awamu ya kwanza ya ulipaji fidia ya Sh20 bilioni kwa ...
Makadirio hayo ni ongezeko la Sh1.621 trilioni sawa na asilimia 31 ikilinganishwa na bajeti ya mwaka 2024/2025 ya Sh5.182 ...
一部の結果でアクセス不可の可能性があるため、非表示になっています。
アクセス不可の結果を表示する